By Alice Njoki Do you know what non-communicable diseases are? Well, Non-communicable diseases, or NCDs, are illnesses that you can’t catch from other people like how you can catch a cold. They usually develop slowly and stay for a long time. These diseases usually happen because of how we take care of our bodies, such […]
Tag: Child health
The rising cases of mother-to-child transmission (MTCT) of HIV in Kilifi County are a serious concern. Health workers report more and more children testing positive for HIV during routine checkups. Dr. Hassan Leli, the County Director of Health and Sanitation Services, says this increase is because pregnant and breastfeeding women are not taking their antiretroviral […]
Vituo vya afya nchini Kenya vimekuwa vikikumbana na uhaba mkubwa wa chanjo muhimu za watoto, huku ripoti zikizidi kujitokeza kutoka katika kaunti kadhaa. Mashirika ya kijamii katika kaunti sita yaliripoti suala hili zaidi ya wiki mbili zilizopita, na upungufu huo sasa unapanuka zaidi, ukiiacha mipango ya msingi ya chanjo kuwa hatarini. Akithibitisha upungufu huo, Waziri […]
Kenya inaanzisha kliniki maalum ya ubongo kwa watoto itakapofikia katikati ya mwaka ujao, hii ni katika juhudi za kitaifa za kukabiliana na pengo la kuwahudumia walio na mahitaji maalum kwa kuwapa matibabu ya hali ya juu. Kliniki ya Wezesha Watoto itaanzishwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi. Hospitali hiyo itakuwa wazi kwa umma […]
Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir ametangaza huduma za afya bila malipo kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano katika Hospitali ya Rufaa ya Pwani (CGTRH) na vituo vyake vyote vya mawasiliano. Nasir pia alifichua kuwa kaunti imeanza mipango ya kuanza kugharamia bili za matibabu kwa wagonjwa walio na mahitaji na vile vile kusajili […]
Afghanistan inasalia kuwa miongoni mwa maeneo ambayo yamepata majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani huku Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch katika ripoti ya hivi majuzi lilisema kwamba thuluthi mbili ya wakazi wa nchi ya Afghanistan wana uhaba wa chakula. “Afghanistan kwa kiasi kikubwa imetoweka kutoka kwa vyombo vya habari, lakini […]
Watu wazima wengi hua na mafikira ya kwamba, utoto na ujana ndio wakati ulio na furaha zaidi maishani, ila ukweli ni kwamba, watoto wengi na vijana wana uwezekano mkubwa wa kupata mateso ya dhiki na mafadhaiko ambazo huweza kusababisha unyogovu kwa watoto hao. Uchunguzi unaonyesha kuwa, kwa kila vijana wanne, kuna uwezekano wa kijana mmoja […]
Washirika wa afya wako tayari kutumia mkakati wa chanjo ya nyumba hadi nyumba ili kuhakikisha watoto walio katika maeneo ya mbali wanapokea dozi za surua-rubela. Wizara ya Afya kwa ushirikiano na Unicef na Gavi wanaendesha kampeni ya siku 10 ya chanjo katika kaunti saba zilizo hatarini zaidi za Mandera, Wajir, Garissa, Turkana, Pokot Magharibi na […]