Kulingana na utafiti watu wanne kati ya elfu ulimwenguni waliofunga ndoa wamepitia talaka, na mara nyingi talaka hizi huathiri watoto. Athari za talaka kwa watoto ni nyingi mno, ila utajitahidi vipi katika kuhakikisha kuwa talaka haitamwathiri mtoto wako? La kwanza kabisa, ni kujizatiti katika kutowaangazia watoto kwenye mapigano yasiyoisha, au vita vya chuki vilopita mpaka. […]
Author: khadija Mbesa
About 60,000 children and youth live on the streets of Nairobi and this number is increasing. For many children, their day to day survival can rely on scavenging, begging and picking through rubbish, they are vulnerable and in risk of being subjected to discrimination and marginalization, making it more and more difficult for them to […]
Mabadiliko ya hali ya hewa nchini Kenya yanaendelea kuwaathiri watoto huku wengi wao wakikabiliwa na utapiamlo mkali unaohitaji matibabu ya haraka. Akiongea wakati wa hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko New York, Mheshimiwa William Ruto aligusia jinsi maisha ya wananchi yamezorota, haswa baada ya Covid-19 na jinsi mabadiliko ya hali ya […]
Shirika la Save the Children, lasema kwamba, maelfu ya watoto huko mashariki na kaskazini mwa Syria wako hatarini kutokana na kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa kipindupindu unaosababishwa na uhaba wa maji unaohusishwa na mabadiliko ya hali ya hewa na migogoro na matumizi ya maji machafu kutoka Mto Euphrates. Takriban watu 24 wamefariki kutokana na […]
Kwa Sheria mpya ya Watoto na miongozo, serikali inadokeza kwamba familia ni mazingira ya malezi na ya kujali na ni mahali pazuri pa kumlea mtoto. Hivi sasa kuna usitishaji wa usajili wa taasisi mpya na Sheria ya Mtoto, 2022 inayotoa kipaumbele kwa matunzo mbadala ya kifamilia, tofauti na kukuzwa kwa watoto katika Makazi ya Watoto. […]
As drought continues to worsen in 20 of 23 ASAL (Arid and Semi-Arid Land) counties in Kenya, children and pregnant women are the most at risk of acute malnutrition. Worsening food security situation in most of the households has resulted in acute malnutrition rates across the counties. According to NDMA (National Drought Management Authority) statistics, […]
Wazazi wengi wameonyesha hasira yao mitandaoni baada ya picha ya wanafunzi wakitoa kuku manyoya kusambaa mitandaoni. Wananchi walionyesha wasiwasi kupitia twitter, huku wakikashifu mtaala wa CBC na wakisema kwamba, usalama wa watoto hao haukuzingatiwa kamwe, kwani kulikuwa na utumiaji wa visu na maji ya moto wakati wa matayarisho hayo ya kuku. I don't like CBC […]
Polisi Nchini New Zealand wameripoti kwamba, mwanamke mmoja nchini Korea Kusini ameshtakiwa kwa mauaji ya watoto wawili ambao miili yao ilipatikana kwenye masanduku mwezi uliopita
Hatima ya Mtaala Unaozingatia Umahiri (CBC) sasa iko kwenye jopokazi litakaloanzishwa wiki ijayo na Rais mpya William Ruto ambaye alichukua uongozi Jumanne. Ruto alisema kwamba, ataunda Kikosi maalum ili kubaini utendakazi wa mpango huo uliozinduliwa na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta mnamo 2018. Mpango huo umekosolewa vikali na washikadau ambao walishutumu utawala wa Kenyatta kwa kukosa […]
Idadi kubwa ya wazazi wamekuwa wakiwaficha watoto wao walio na ulemavu