Ulinzi wa mtoto ni kuwakinga dhidi ya unyonyaji, unyanyasaji, kutelekezwa, vitendo vyenye madhara na ukatili. Watoto-waathiriwa wa ukatili -waliokaribia milioni 4.4 kutoka nchi 129, ndio walioweza kupata hudama za afya, za kisheria, na za wakaazi wa kijamii.Aidha, asilimia 25 ya watoto ni walio na miaka chini ya kumi, huku asilimia 41 wakiwa na miaka kati […]
