Every child has a right to live and the government must ensure as much as possible a good life and development of a child but, that is brought to question when the ADF rebels cost the lives of 42 children on the night of June 16, 2023 with 6 abducted from Mpondwe/ Lubiriha Secondary […]
Author: khadija Mbesa
Kila mtoto ana haki ya kuishi na serikali lazima ihakikishe kwa kadiri iwezekanavyo maisha mema na ukuaji wa mtoto, lakini hilo linatiliwa shaka wakati mashambulizi ya waasi wa ADF yalipogharimu maisha ya watoto 42 wasio na hatia usiku wa Juni 16, 2023. Kwa mujibu wa polisi, shule ya sekondari ya Lhubirira iliyoko Mpondwe iliyoko kilomita […]
Wakaazi wa Rongai, hivi leo wameamka na habari ya kushtua kufuatia tukio lililotokea katika eneo hilo asubuhi. Walakini, kama ilivyoripotiwa na vyanzo vingi, inaonekana kuwa mwanamke aliwaua watoto wake wawili na kumwacha mumewe katika hali mbaya baada ya kuendelea na kusitasita juu ya shida za nyumbani. Hata hivyo imesemekana kuwa mwanamke huyo alionekana akijaribu kujiua […]
Hedhi ni mchakato wa kawaida katika maisha ya kila mwanamke, lakini mara nyingi hufunikwa na usiri na aibu. Takriban wanawake na wasichana milioni 9.3 nchini Kenya hupata hedhi. Mara nyingi wasichana waliofikisha umri wa kubalighi hutafuta majibu kuhusu afya yao ya hedhi ila mara nyingi huambulia patupu. Ili kukabiliana na changamoto hii, Unicef imezindua […]
Familia moja kutoka Kaunti ya Homa Bay, eneo bunge la Ndhiwa, inatafuta haki kwa binti yao mwenye umri wa miaka 17 anayedaiwa kunajisiwa na kundi la wanaume sita. Mwathiriwa kwa sasa amelazwa katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Kaunti ya Homa Bay ambapo alikimbizwa akiwa na majeraha baada ya kisa hicho kilichotokea Jumatatu usiku […]
Zaidi ya watoto milioni saba walio chini ya umri wa miaka mitano wamesalia na utapiamlo na wanahitaji msaada wa haraka wa lishe, na zaidi ya wavulana na wasichana milioni 1.9 wako katika hatari ya kufariki kutokana na utapiamlo mkali . Jamii zilizo katika mazingira magumu zimepoteza ng’ombe, mazao, na maisha mengi katika kipindi cha miaka […]
Wakati ulimwengu unajiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa ya watoto waliopotea, takwimu zimeonyesha kuwa, takriban watoto 6500 hupotea kila mwaka nchini Kenya, hii ni sawa na watoto 18 kila siku. Polisi wanasema kwamba, idadi hiyo inaweza kuwa kubwa zaidi ikizingatiwa kwamba watoto wengi zaidi waliopotea hawaripotiwi kamwe. Polisi sasa wanawataka wananchi kuripoti watoto waliopotea ili kupata […]
Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir ametangaza huduma za afya bila malipo kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano katika Hospitali ya Rufaa ya Pwani (CGTRH) na vituo vyake vyote vya mawasiliano. Nasir pia alifichua kuwa kaunti imeanza mipango ya kuanza kugharamia bili za matibabu kwa wagonjwa walio na mahitaji na vile vile kusajili […]
Afghanistan inasalia kuwa miongoni mwa maeneo ambayo yamepata majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani huku Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch katika ripoti ya hivi majuzi lilisema kwamba thuluthi mbili ya wakazi wa nchi ya Afghanistan wana uhaba wa chakula. “Afghanistan kwa kiasi kikubwa imetoweka kutoka kwa vyombo vya habari, lakini […]
Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Mtoto katika utangulizi wake unasema “…mtoto, kwa ajili ya ukuaji kamili na wenye uwiano wa utu wake, anapaswa kukua katika mazingira ya familia, katika mazingira ya furaha, upendo na uelewano”. Haki hii imesalia kuwa ngumu kwa takriban watoto 40,000 ambao wanaripotiwa kuhifadhiwa katika taasisi za watoto za […]